Law. 19:22 SUV

22 Kisha huyo kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake, kwa huyo kondoo mume wa sadaka ya hatia mbele za BWANA, kwa ajili ya dhambi yake aliyoifanya; naye atasamehewa hiyo dhambi yake aliyoifanya.

Kusoma sura kamili Law. 19

Mtazamo Law. 19:22 katika mazingira