21 Na huyo mume ataleta sadaka yake ya hatia aitoe kwa BWANA, hata mlangoni pa hema ya kukutania; kondoo mume kwa hiyo sadaka ya hatia.
Kusoma sura kamili Law. 19
Mtazamo Law. 19:21 katika mazingira