Law. 21:21 SUV

21 mtu awaye yote wa kizazi cha Haruni kuhani aliye na kilema asikaribie kuzisongeza sadaka za BWANA kwa njia ya moto; ana kilema huyo asikaribie kusongeza chakula cha Mungu wake.

Kusoma sura kamili Law. 21

Mtazamo Law. 21:21 katika mazingira