22 Atakula chakula cha Mungu wake, katika hicho kilicho kitakatifu sana, na hicho kilicho kitakatifu.
Kusoma sura kamili Law. 21
Mtazamo Law. 21:22 katika mazingira