Law. 25:44 SUV

44 Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.

Kusoma sura kamili Law. 25

Mtazamo Law. 25:44 katika mazingira