Law. 25:45 SUV

45 Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.

Kusoma sura kamili Law. 25

Mtazamo Law. 25:45 katika mazingira