Law. 27:14 SUV

14 Na mtu atakapoiweka nyumba yake iwe wakfu kwa BWANA ndipo kuhani ataihesabu kima chake hiyo nyumba, ikiwa njema ikiwa mbaya; kama kuhani atakavyoihesabu kima chake ndivyo itakavyokuwa.

Kusoma sura kamili Law. 27

Mtazamo Law. 27:14 katika mazingira