Law. 27:15 SUV

15 Tena mtu huyo aliyeweka nyumba yake iwe wakfu kama akitaka kuikomboa, ndipo atakapoongeza sehemu ya tano ya hiyo fedha ya hesabu yako, nayo itakuwa mali yake.

Kusoma sura kamili Law. 27

Mtazamo Law. 27:15 katika mazingira