Law. 6:7 SUV

7 na huyo kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake mbele za BWANA, naye atasamehewa; katika jambo lo lote alifanyalo hata akapata kuwa mwenye hatia kwalo.

Kusoma sura kamili Law. 6

Mtazamo Law. 6:7 katika mazingira