Law. 8:13 SUV

13 Kisha Musa akawaleta wana wa Haruni, na kuwavika kanzu, na kuwafunga mishipi, na kuwavika vilemba; kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Kusoma sura kamili Law. 8

Mtazamo Law. 8:13 katika mazingira