Law. 8:26 SUV

26 kisha katika kikapu cha mikate isiyotiwa chachu, kilichokuwa pale mbele za BWANA, akatwaa mkate mmoja usiochachwa, na mkate mmoja ulioandaliwa na mafuta na kaki moja nyembamba, akaiweka juu ya mafuta, na juu ya huo mguu wa nyuma wa upande wa kuume;

Kusoma sura kamili Law. 8

Mtazamo Law. 8:26 katika mazingira