Law. 8:25 SUV

25 Kisha akayatwaa hayo mafuta, na mkia wenye mafuta, na mafuta yote yaliyokuwa katika matumbo, na kitambi cha ini, na figo mbili, na mafuta yake, na mguu wa nyuma wa upande wa kuume;

Kusoma sura kamili Law. 8

Mtazamo Law. 8:25 katika mazingira