Law. 8:29 SUV

29 Kisha Musa akakitwaa kile kidari, akakitikisa huku na huku, kiwe sadaka ya kutikiswa mbele za BWANA; ni sehemu ya Musa katika huyo kondoo mume wa kuwaweka wakfu; kama BWANA alivyomwagiza Musa.

Kusoma sura kamili Law. 8

Mtazamo Law. 8:29 katika mazingira