Law. 9:23 SUV

23 Kisha Musa na Haruni wakaingia ndani ya hema ya kukutania, kisha wakatoka nje, na kuwabarikia watu; na huo utukufu wa BWANA ukawatokea watu wote.

Kusoma sura kamili Law. 9

Mtazamo Law. 9:23 katika mazingira