Law. 9:24 SUV

24 Kisha moto ukatoka hapo mbele za BWANA, na kuiteketeza sadaka ya kuteketezwa, na yale mafuta juu ya madhabahu; watu wote walipouona huo moto wakapiga kelele wakainama kifudifudi.

Kusoma sura kamili Law. 9

Mtazamo Law. 9:24 katika mazingira