Yer. 31:19 SUV

19 Hakika baada ya kugeuzwa kwangu, nalitubu; na baada ya kufundishwa kwangu, nalijipiga pajani; nalitahayarika, naam, nalifadhaika, kwa sababu naliichukua aibu ya ujana wangu.

Kusoma sura kamili Yer. 31

Mtazamo Yer. 31:19 katika mazingira