Yer. 46:6 SUV

6 Mtu mwepesi asikimbie, wala shujaa asiokoke; pande za kaskazini karibu na mto Frati wamejikwaa na kuanguka.

Kusoma sura kamili Yer. 46

Mtazamo Yer. 46:6 katika mazingira