Yer. 51:57 SUV

57 Nami nitawalevya wakuu wake, na watu wake wenye hekima, maliwali wake, na maakida wake, na mashujaa wake; nao watalala usingizi wa milele, wasiamke, asema Mfalme, BWANA wa majeshi, ambaye jina lake ni BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 51

Mtazamo Yer. 51:57 katika mazingira