1 Samueli 1:28 BHN

28 Kwa sababu hiyo, mimi ninampa Mwenyezi-Mungu mtoto huyu; wakati wote atakapokuwa hai, ametolewa kwa Mwenyezi-Mungu.” Halafu, wakamwabudu Mwenyezi-Mungu hapo.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 1

Mtazamo 1 Samueli 1:28 katika mazingira