20 Pia Daudi aliyarudisha makundi yote ya kondoo na ng'ombe, na watu wake wakawa wanaswaga wanyama hao wakiwatanguliza mbele ya wanyama wale wengine wakisema, “Nyara za Daudi.”
Kusoma sura kamili 1 Samueli 30
Mtazamo 1 Samueli 30:20 katika mazingira