1 Samueli 30:21 BHN

21 Daudi akawarudia wale watu 200 ambao waliachwa kwenye kijito cha Besori kwa sababu walikuwa wamechoka kumfuata. Wale watu walipomwona Daudi pamoja na wale waliokuwa pamoja naye, wakaenda kumlaki. Daudi alipofika karibu na watu hao, akawasalimu.

Kusoma sura kamili 1 Samueli 30

Mtazamo 1 Samueli 30:21 katika mazingira