2 Wafalme 10:11 BHN

11 Ndipo Yehu akaua jamaa yote ya Ahabu iliyokuwa inakaa Yezreeli, pamoja na maofisa wake na marafiki na makuhani wake; hakumwacha mtu yeyote.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:11 katika mazingira