2 Wafalme 10:10 BHN

10 Jueni ya kwamba maneno yote aliyosema Mwenyezi-Mungu kuhusu jamaa ya Ahabu yametimia. Mwenyezi-Mungu ameyafanya hayo aliyosema kwa njia ya mtumishi wake Elia.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:10 katika mazingira