2 Wafalme 10:9 BHN

9 Asubuhi yake akatoka, akasimama na kuwaambia watu wote, “Nyinyi ni waadilifu, angalia mimi nilikula njama dhidi ya bwana wangu na kumuua. Lakini ni nani aliyewaua hawa wote?

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:9 katika mazingira