2 Wafalme 10:8 BHN

8 Kisha mtumishi mmoja akamwendea na kusema, “Vichwa vya wana wa mfalme vimekwisha letwa.” Ndipo akaamuru, “Viwekwe chini katika mafungu mawili kwenye lango la mji; halafu viache vikae huko mpaka asubuhi.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:8 katika mazingira