2 Wafalme 10:7 BHN

7 Basi, barua ilipowafikia waliwachukua hao wana wa mfalme na kuwakata wote sabini. Waliweka vichwa vyao vikapuni na kumpelekea Yehu huko Yezreeli.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:7 katika mazingira