2 Wafalme 10:6 BHN

6 Yehu akawaandikia barua nyingine akiwaambia: “Ikiwa kweli mko tayari kufuata maagizo yangu, leteni hapa Yezreeli vichwa vya wana wa bwana wenu; nivipate kesho wakati kama huu.”Wana sabini wa mfalme Ahabu waliishi kwa viongozi wa Samaria, ambao walikuwa walezi wao.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10

Mtazamo 2 Wafalme 10:6 katika mazingira