29 Lakini alifuata dhambi ya Yeroboamu mwana wa Nebati ya kuwaongoza Waisraeli watende dhambi. Aliweka sanamu za ndama wa dhahabu huko Betheli na Dani.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10
Mtazamo 2 Wafalme 10:29 katika mazingira