30 Mwenyezi-Mungu akamwambia Yehu, “Umewatendea wazawa wa Ahabu yale yote niliyotaka uwatendee. Kwa hiyo nimekuahidi kuwa wazawa wako hadi kizazi cha nne watatawala Israeli.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 10
Mtazamo 2 Wafalme 10:30 katika mazingira