2 Wafalme 11:16 BHN

16 Basi, wakamkamata, wakampeleka na kumpitisha kwenye Lango la Farasi kuelekea ikulu, naye akauawa huko.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 11

Mtazamo 2 Wafalme 11:16 katika mazingira