2 Wafalme 11:17 BHN

17 Kisha Yehoyada akafanya agano kati ya Mwenyezi-Mungu na mfalme na watu kwamba watakuwa watu wa Mwenyezi-Mungu; kadhalika alifanya agano kati ya mfalme na watu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 11

Mtazamo 2 Wafalme 11:17 katika mazingira