2 Wafalme 11:2 BHN

2 Lakini Yehosheba binti ya mfalme Yoramu, dada yake Ahazia, alimchukua kwa siri Yoashi mwana wa Ahazia, kutoka miongoni mwa wana wa mfalme waliokuwa karibu kuuawa. Alimficha yeye pamoja na yaya wake katika chumba cha kulala. Hivyo walimficha ili Athalia asimwone na kumwua.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 11

Mtazamo 2 Wafalme 11:2 katika mazingira