1 Mara Athalia, mamake mfalme Ahazia, alipoona kuwa mwanawe ameuawa, alitoka, akaangamiza jamii yote ya kifalme.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 11
Mtazamo 2 Wafalme 11:1 katika mazingira