2 Wafalme 11:7 BHN

7 Yale makundi mawili ambayo humaliza zamu yao siku ya Sabato yatashika zamu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kumlinda mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 11

Mtazamo 2 Wafalme 11:7 katika mazingira