2 Wafalme 11:8 BHN

8 Mtamzunguka mfalme, kila mtu na silaha yake mkononi na mtu yeyote atakayethubutu kuwakaribia lazima auawe. Lazima mkae na mfalme, awe anatoka au anakaa.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 11

Mtazamo 2 Wafalme 11:8 katika mazingira