2 Wafalme 11:9 BHN

9 Makapteni walitii amri zote alizotoa kuhani Yehoyada. Kila ofisa akawachukua watu wake wote, wale waliokuwa wamemaliza zamu na wale waliokuwa wanaingia kushika zamu siku ya Sabato, basi wakamwendea kuhani Yehoyada.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 11

Mtazamo 2 Wafalme 11:9 katika mazingira