2 Wafalme 13:21 BHN

21 Wakati mmoja, wakati wa mazishi, watu waliona kundi mojawapo la watu waliobeba maiti wakamtupa yule maiti kaburini mwa Elisha na kukimbia. Mara maiti huyo alipogusa mifupa ya Elisha, alifufuka na kusimama wima.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 13

Mtazamo 2 Wafalme 13:21 katika mazingira