2 Wafalme 13:22 BHN

22 Mfalme Hazaeli wa Aramu aliwanyanyasa sana watu wa Israeli wakati wote wa enzi ya Yehoahazi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 13

Mtazamo 2 Wafalme 13:22 katika mazingira