2 Wafalme 13:3 BHN

3 Mwenyezi-Mungu alikasirika, akawafanya watu wa Israeli washindwe vitani mara kwa mara na mfalme Hazaeli wa Aramu na mwanawe Ben-hadadi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 13

Mtazamo 2 Wafalme 13:3 katika mazingira