2 Alitenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu kama vile mfalme Yeroboamu mwana wa Nebati aliyewakosesha watu wa Israeli wakatenda dhambi. Yehoahazi hakuacha matendo hayo mabaya.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 13
Mtazamo 2 Wafalme 13:2 katika mazingira