2 Wafalme 13:1 BHN

1 Katika mwaka wa ishirini na tatu wa enzi ya mfalme Yoashi wa Yuda, Yehoahazi mwana wa Yehu alianza kutawala Israeli, akaendelea kutawala huko Samaria muda wa miaka kumi na saba.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 13

Mtazamo 2 Wafalme 13:1 katika mazingira