2 Wafalme 14:19 BHN

19 Njama za kumwua Amazia zilifanywa Yerusalemu, kwa hiyo alikimbilia Lakishi, lakini maadui walituma watu wa kumwua huko.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 14

Mtazamo 2 Wafalme 14:19 katika mazingira