2 Wafalme 14:20 BHN

20 Maiti yake ililetwa juu ya farasi na kuzikwa katika makaburi ya kifalme katika Yerusalemu katika mji wa Daudi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 14

Mtazamo 2 Wafalme 14:20 katika mazingira