2 Wafalme 15:10 BHN

10 Shalumu mwana wa Yabeshi alikula njama dhidi ya mfalme Zekaria, akampiga mbele ya watu na kumwua, kisha akatawala mahali pake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 15

Mtazamo 2 Wafalme 15:10 katika mazingira