2 Wafalme 15:9 BHN

9 Naye, kama vile watangulizi wake, alimwasi Mwenyezi-Mungu. Alifuata mfano mbaya wa mfalme Yeroboamu mwana wa Nebati, ambaye aliwapotosha watu wa Israeli wakatenda dhambi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 15

Mtazamo 2 Wafalme 15:9 katika mazingira