2 Wafalme 15:14 BHN

14 Menahemu mwana wa Gadi aliondoka Tirza kwenda Samaria, na huko akamuua Shalumu mwana wa Yabeshi, kisha akatawala mahali pake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 15

Mtazamo 2 Wafalme 15:14 katika mazingira