13 Katika mwaka wa thelathini na tisa wa enzi ya mfalme Azaria wa Yuda, Shalumu mwana wa Yabeshi alianza kutawala Israeli, akatawala huko Samaria kwa muda wa mwezi mmoja.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 15
Mtazamo 2 Wafalme 15:13 katika mazingira