17 Mfalme Ahazi aliziondoa papi zilizokuwa zimesimamishwa huko, akaondoa birika lililoitwa bahari ambalo lilikuwa juu ya wale fahali kumi na wawili wa shaba na kuliweka juu ya msingi wa mawe.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 16
Mtazamo 2 Wafalme 16:17 katika mazingira