2 Wafalme 16:18 BHN

18 Nalo jukwaa lililotumika siku ya Sabato lililokuwa limejengwa ndani ya nyumba pamoja na kivutio cha nje, mfalme alivihamisha kutoka katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya mfalme wa Ashuru.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 16

Mtazamo 2 Wafalme 16:18 katika mazingira