2 Wafalme 16:5 BHN

5 Kisha Resini mfalme wa Aramu na Peka mwana wa Remalia mfalme wa Israeli walitokea ili kupigana vita dhidi ya Yerusalemu, nao walimzingira Ahazi, lakini hawakuweza kumshinda.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 16

Mtazamo 2 Wafalme 16:5 katika mazingira